Home KITAIFA DK. BITEKO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA – MAGOMENI

DK. BITEKO ASHIRIKI HAFLA YA UWEKAJI WAKFU KANISA SDA – MAGOMENI

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameshiriki hafla ya uwekaji Wakfu Jengo la Kanisa la Waadventista wa Sabato Magomeni inayofanyika leo Disemba 15, 2024 jijini Dar es Salaam.

Dk. Biteko amemwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ambapo Kanisa hilo limewekwa Wakfu na Mchungaji Joel Okindo, Msaidizi wa Mwenyekiti wa Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati (ECD).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here