Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DK.NDUGULILE

RAIS DK.SAMIA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA DK.NDUGULILE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Dk. Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo Desemba, 0 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here