Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA WA KIMILA JAMII...

RAIS DK.SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA WA KIMILA JAMII YA MASAI (MALAIGWANANI)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani katika Ikulu ndogo ya Arusha leo Desemba, 01 2024.

Viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wale wa kimila wa jamii ya Kimasai (Malaigwanani) wanaoishi Ngorongoro na maeneo jirani wakiwa kwenye kikao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ndogo ya Arusha leo Desemba, 01 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here