Home KITAIFA RAIS DK. SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA...

RAIS DK. SAMIA KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame alipowapokewa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba,30 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Museveni alipowapokewa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba, 30 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Somoei Ruto alipowapokewa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba, 30 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini ,Salva Kiir alipowapokewa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba, 30 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na Baadhi ya Wakuu wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwenye mkutano wa Ndani uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha leo Novemba,30 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here