Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza Oktoba, 13 2024. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 93 na linatarajiwa kukamilika mwezi Februari, 2025.