Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA SAMSUNG C&T CORPORATION OH SE-CHUL

RAIS DK.SAMIA AZUNGUMZA NA RAIS WA SAMSUNG C&T CORPORATION OH SE-CHUL

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Samsung C & T Corporation Oh Se-chul pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Oktoba,3 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot Bw. Robert Ford pamoja na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Oktoba, 3 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here