Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI MKOANI...

RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA MAJI MKOANI RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma leo Septemba,24 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma leo Septemba, 24 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here