Home KITAIFA DK.NDUMBARO AKABIDHI ZAIDI YA VITABU 1900 SONGEA BOYS.

DK.NDUMBARO AKABIDHI ZAIDI YA VITABU 1900 SONGEA BOYS.

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Damas Ndumbaro leo Septemba 21, 2024 Mjini Songea amekabidhi Zaidi ya vitabu 1900 vya masomo mbalimbali katika shule ya wavulana ya Songea “Songea Boys”

Dk.Ndumbaro amekabidhi vitabu hivyo kutoka Taasisi ya Elimu Tanzania vyenye thamani ya shilingi. 27,217,000 akiambatana na Afisa Mtendaji Mkuu kuu wa Ofisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) Doreen Sinare ikiwa ni utekelezaji wa ahadi yake aliyoitoa kwa wanafunzi wa shule hiyo hivi karibuni.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here