Home KITAIFA MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA.

MAJALIWA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2024 amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres kwenye Ofisi za makao makuu ya umoja huo, New York Nchini Marekani.

Majaliwa yupo nchini humo kumwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here