Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA IGP WAMBURA

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA IGP WAMBURA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba, 20 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba, 20 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here