Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

RAIS DK.SAMIA AWASILI MKOANI KILIMANJARO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro, leo Septemba, 162024.
Rais Dktm. Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) – Moshi, Kilimanjaro Septemba, 17 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here