Home KITAIFA WAZIRI MKUU KUFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO...

WAZIRI MKUU KUFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WANDAMIZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 06, 2024 amewasili Mkoani Kilimanjaro ambapo atafungua Semina elekezi kwa viongozi waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Semina hiyo ya siku mbili imelenga kuwajengea uwezo viongozi hao ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi na kwa kuzingatia vipaumbele vya Serikali.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here