Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKIHUTUBIA VIONGOZI FOCAC CHINA

RAIS DK.SAMIA AKIHUTUBIA VIONGOZI FOCAC CHINA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi mbalimbali kwenye Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini China leo Septemba,5 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) katika ukumbi wa The Great Hall of the People Jijini Beijing nchini ChinaSeptemba, 5 2024.


LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here