Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI CHINA KUSHIRIKI MKUTANO WA FOCAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Septemba, 3 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here