Dodoma
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewasilisha mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2024 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024].
Muswada huo umewasilishwa leo Septemba 2, 2024 Bungeni jijini Dodoma.
Akisoma Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2024 [ The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2024], Mhe. Johari amesema,muswada huo unapendekeza kufanya Marekebisho katika Sheria za;
Sheria ya Usimamizi wa Maendeleo ya Uvuvi wa Bahari Kuu, Sura ya 388 [The Deep-Sea Fisheries Management and Development Act, Cap 388],
Sheria ya Madini sura ya 123 [ The Mining Act, Cap 123] na Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania, Sura ya 280 [The Tanzania Fisheries Research Institute Act .