Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba,01 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, leo Septemba, 1 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Kitabu cha miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba, 01 2024.

Mtukio mbalimbali wakati wa kilele cha Maadhimisho ya kutimiza miaka 60 kwa Jeshi hilo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam Septemba, 01 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here