Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU...

RAIS DK.SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi mbalimbali kabla ya kufungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Agosti, 28 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Agosti,28 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here