Arusha
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2024 anamuwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).
Hafla hiyo unafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar.
Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “Uimarishaji wa Taaluma ya Uhandisi Ujenzi kwa Maendeleo Endelevu ya Nchi”