Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI KENYA

RAIS DK.SAMIA AWASILI NCHINI KENYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi tayari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Amolo Odinga, Waziri mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Dk. William Ruto. Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Nairobi na kuhudhuriwa na Wakuu wa nchi mbalimbali, Agosti,27 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here