Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA RAILA...

RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA WAKATI WA HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA RAILA AMOLO ODINGA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) ikiwa ni mualiko kutoka kwa Rais wa nchi hiyo Dk. William Samoei Ruto, Ikulu ya Nairobi Agosti,27 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Dk. William Samoei Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya pamoja na Viongozi wengine wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Amolo Odinga, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Kenya anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU), Ikulu ya Nairobi Agosti, 27 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here