Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SULUHU SPORTS ACADEMY

RAIS DK.SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA SULUHU SPORTS ACADEMY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi wakati wa shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi, Zanzibar Agosti, 22 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Watoto wa Suluhu Sports Academy wakiimba mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi, Kizimkazi Zanzibar Agosti, 22 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa Suluhu Sports Academy katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar Agosti, 22 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here