Home KIMATAIFA RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA...

RAIS DK.SAMIA AKIWA PAMOJA NA VIONGOZI WENGINE KATIKA MKUTANO WA 44 WA WAKUU WA NCHI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine katika Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwenye Jengo la Bunge jipya la Zimbabwe Jijini Harare Agosti, 17 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here