Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezungùmza na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa. Mazungumzo hayo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole yamefanyika Revolutionary Square, Havana, Agosti 13, 2024.