Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA SIGARA CHA SERENGETI.

RAIS DK.SAMIA AZINDUA KIWANDA CHA SIGARA CHA SERENGETI.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aweka jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) katika eneo la Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) Mkoani Morogoro Agosti, 6 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mmiliki na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) na Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Ahmed Huwel wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) Mkoani Morogoro Agosti,6 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuweka jiwe la Msingi la msingi ujenzi wa Kiwanda cha Sigara cha Serengeti (SCC) katika eneo la Kiwanda cha uchakataji tumbaku Mkwawa (MTPL) Mkoani Morogoro Agosti, 6 2024.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan azindua jengo Mtambuka la Mafunzo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kwenye Kampasi ya Edward Moringe, Mkoani Morogoro Agosti,6 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here