Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA GAIRO

RAIS DK.SAMIA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA GAIRO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Hospitali ya Wilaya ya Gairo mara baada ya kuanza ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro leo, Agosti,2 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Gairo mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Wilaya hiyo kwa ajili ya kuwahutubia leo Agosti,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Gairo katika Mkutano wa hadhara uliofanyika katika Shule ya Msingi Gairo Mkoani Morogoro Agosti, 02 2024. Rais Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani Morogoro ambapo pamoja na mambo mengine, atazindua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here