Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA

RAIS DK.SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizindua Daraja la Berega, Wilayani Kilosa katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi iliyoanza Mkoani Morogoro leo Agosti,2 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Kata ya Berega mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwasili katika Kata hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Daraja la Berega, Kilosa Mkoani Morogoro Agosti,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kata ya Berega Wilayani Kilosa mara baada ya kufungua Daraja la Berega katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro gosti,2 2024.

Sehemu ya Wananchi wa Dumila Mkoani Morogoro wakiwa kwenye Mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan Agosti, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Dumila katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro Agosti,2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda mara baada ya kusimama eneo la Dumila darajani katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro Agosti, 2 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Watoto wa Dumila mara baada ya kuwasalimia Wananchi wa eneo hilo Kilosa Mkoani Morogoro Agosti,2 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here