Home KITAIFA DK. BITEKO AMFARIJI HALIMA MDEE

DK. BITEKO AMFARIJI HALIMA MDEE

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee leo Julai 31,2024.

Dk. Biteko amefika na kumfariji Halima Mdee kufuatia msiba huo uliotokea Julai,30 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu Jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here