
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajia Kuanza Ziara ya Kikazi ya Siku Tano Mkoa wa Morogoro kuanzia August, 2,2024 ambapo mbali na kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo pia atazungumza na Wananchi wa Mkoa huo.
Aidha Rais Dk. Samia anatarajiwa kufanya Uzinduzi wa safari za treni ya kisasa ya SGR kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma August, 1,2024.