Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAHAFALI YA NDC KOZI YA 12 KWA MWAKA 2023/24.

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI MAHAFALI YA NDC KOZI YA 12 KWA MWAKA 2023/24.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam, leo Julia, 27 2024.

Baadhi ya Waambata Jeshi pamoja na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati wa kwenye Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam Julai,27 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here