Home BURUDANI WAZIRI DAMASI NDUMBALO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI UFUNGUZI WA GRAND GALA DANCE

WAZIRI DAMASI NDUMBALO ANATARAJIA KUWA MGENI RASMI UFUNGUZI WA GRAND GALA DANCE

Dar es salaam

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Damasi Ndumbalo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Msimu wa tatu wa grand gala dance itakayonyika Agosti 30 mwaka huu Jijini Dar es salaam katika Ukumbi wa Superdom Masaki.

Akizungumza leo Julai, 24, 2024 Jijini Dar Mkurugenzi wa mwanzilishi kampunj ya Chokolate princess Limited wa Mboni Masimba amesema usiku wa grad gala huo utakuwa wa kipekee haijawahi kutokea kwani kutakuwa na burudani za kutosha kutoka katika wadau mbalimbali wa mziki ikiwemo bendi 4 Twanga pepeta ikiongozwa Charse Baba , bendi ya Fm academia Pancho Mwamba, Tukuyu sound pia Christian Bella , na wengineo watakuwepo

“Grad gala ilianza mwaka 2022 hiii burudani tunamuenzi baba wa Taifa hayati Rais Julius Nyerere kwa mara ya kwanza tulibahatika kuwa na mgeni Rasmi Abrahman Kinana na mwaka jana ilifanyika Mbeya ambapo Mgeni rasmi alikuwa Spika wa bunge la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dk. Tulia Akson hivyo mwaka huu alitakiwa awe Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa na ametuletea mwakilishi wake Damasi Ndumbalo,” amesema Mboni

Amesema Burudani hiyo itakuwa chini ya udhamini wa benki ya CRDB kwani wale wote wanaopenda kuingia viingilio itakuwa kama ifuatavyo ambapo a V.V.P Shilingi milioni 2, 1 na mtu mmoja mmoja elfu hamsini hivyo malipo yote yafanyike kwa lipa namba CRDB popote mtu alipo.

Naye Mkurugenzi wa bendi ya Fm academia, Pancho Mwamba amesema mziki huo wale wanaosema umeshuka ni uongo waje waone kama kuna ukweli ndani yake hivyo waje waone.

Kwa upande wake Prygodi Malembeka kutoma CRDB dansi gala kutakuwa na watoa huduma wa vinywaji vyakula hivyo watalipa kupitia huduma ya benki hiyo kupitia simu au mawakala

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here