Home KITAIFA CCM KIGOMA INATOSHA

CCM KIGOMA INATOSHA

Kigoma

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Jumuiya zake pamoja na wananchi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Ujiji Kata ya Kipampa Manispaa ya Kigoma ukiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda (MCC) akiwa na Katibu Mkuu wa UWT Suzan Peter Kunambi(MNEC),Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa na Wajumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa ikiwa ni hitimisho la Ziara ya viongozi hao Mkoani Kigoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here