Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA TUNDUMA

RAIS DK.SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA TUNDUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe wakati akiwa njiani kuelekea Mkoani Dodoma Julai, 18 2024 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoani Rukwa.

Shamrashamra za Wananchi wa Tunduma katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili wakati akitokea Mkoa wa Rukwa Julai, 18 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here