Home KITAIFA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA UWANJA WA MANDELA

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA UWANJA WA MANDELA

Matukio mbalimbali katika Uwanja wa Mandela, mkoani Rukwa Julai, 17 2024 ambapo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amelakiwa na maelfu ya wananchi na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Mkoa na Wilaya za Rukwa Rais Dk. Samia amekuwa mkoani Rukwa katika ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya Sekta za Afya, Kilimo na Elimu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here