Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA...

RAIS DK.SAMIA AZINDUA JENGO LA HUDUMA ZA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA NKASI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la huduma za dharura katika Hospitali Wilaya ya Nkasi Julai,15 2024 Rais Dk. Samia ameanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa kuhusu ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Nkasi kutoka kwa Mhandisi Neophitus Ntalwila katika Uzinduzi wa Hospitali hiyo Julai,15 2024 Rais Dk. Samia ameanza Ziara yake ya kikazi Mkoani Rukwa ambapo pamoja na mambo mengine atazindua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Namanyere Wilaya ya Nkasi Mkoa Rukwa mara baada ya kuanza Ziara yake Mkoani humo leo Julai, 15 2024 ambapo anatarajia kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here