Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPIMBWE

RAIS DK.SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MPIMBWE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mpimbwe katika Jimbo la Kavuu mkoani Katavi Julai,15 2024. Mhe. Rais Samia amehitimisha Ziara yake mkoani Katavi na Kuendelea na Ziara yake Mkoani Rukwa kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza Wananchi wa Mpimbwe katika eneo la Kibaoni kabla ya kuhitimisha ziara yake Mkoani Katavi Julai,15 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here