Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME

RAIS DK.SAMIA APOKEA TAARIFA YA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOZA UMEME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Kituo cha kupokea na kupoza umeme wa Gridi ya Taifa kilichopo Inyonga Mkoani Katavi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga Julai, 13 2024. Rais Dk. Samia anaendelea na Ziara yake ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Mlele katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Katavi Julai,13 2024.

Shamrashamra za Wananchi wa Mlele wakati wa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Wilayani hapo katika muendelezo wa Ziara yake ya Kikazi Mkoani Katavi Julai,13 2024.

Sehemu ya Wananchi wa Mlele waliohudhuria Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, Wilayani hapo Julai, 13 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here