Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AWASILI KATAVI

RAIS DK.SAMIA AWASILI KATAVI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mpanda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi Julai,12 2024. Rais Dk. Samia ameanza Ziara ya Kikazi Mkoani humo ambapo atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya Maendeleo pamoja na kuzungumza na Wananchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya maboresho ya kiwanja cha ndege cha Mpanda pamoja na jengo la abiria kutoka kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) Mussa Mbura mara baada ya kuwasili uwanjani hapo Mkoani Katavi leo Julai, 12 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here