Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA GETES FOUNDATION

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA TAASISI YA GETES FOUNDATION

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Gates Foundation Mark Suzman yaliyofanyika kwa njia ya mtandao (Video Call) Julai,10 2024. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano baina ya Tanzania na Taasisi hiyo na kujadili maeneo mengine ya ushirikiano ikiwemo katika masuala ya afya, kilimo, uwezeshwaji wanawake kiuchumi, uchumi jumuishi, Elimu na matumizi ya akili bandia (AI) katika maeneo tajwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here