Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA UWEKEZAJI...

RAIS DK.SAMIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA UWEKEZAJI ULAYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (European Investment Bank) Thomas Östros, Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here