Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE KIISLAM ZANZIBAR

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI KONGAMANO LA WANAWAKE KIISLAM ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Julai, 52024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia Washiriki wa Kongamano la Wanawake wa Kiislam Zanzibar kwa ajili ya kuadhimisha mwaka Mpya wa Kiislam. Kongamano hilo limefanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Julai, 5 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here