Home KITAIFA NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA...

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII ANAYESHUGHULIKIA UTALII AMETEMBELEA MABANDA MBALIMBALI YA WIZARA HIYO.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii), Nkoba Mabula leo Julai mosi 2024 ametembelea mabanda mbalimbali ya wizara hiyo yaliyopo kwenye Maonesho ya 48 ya kibiashara ya Kimataifa maarufu sabasaba ikiwemo Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) na mengineyo kuona jinsi wanavyotoa elimu kwa wananchi na shughuli zake.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here