Home KITAIFA MCHUNGAJI MSIGWA AHAMIA CCM.

MCHUNGAJI MSIGWA AHAMIA CCM.

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mchungaji Peter Msigwa amekihama chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mchungaji Msigwa amepokekewa CCM wakati wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Jijini Dar es Salaam leo Juni 30, 2024 kilichoketi chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here