Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ATOA MHADHARA WENYE MADA YA FALSAFA YA R NNE(4RS)

RAIS DK.SAMIA ATOA MHADHARA WENYE MADA YA FALSAFA YA R NNE(4RS)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam Juni 26 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wanadhimu Waandamizi Waelekezi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam Juni, 26 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam Juni,26 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu,Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita. Mhadhara huo umefanyika katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam Juni, 26 2024. Falsafa yake ya R4 ni: Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wanadhimu Wakuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi- Tanzania kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam Juni, 26 2024.

.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here