Home KITAIFA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI...

WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2024.

Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Siku ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

Mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho hayo ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here