Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI

RAIS DK.SAMIA AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dk. John Stephen Simbachawene kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni, 23 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan akimuapisha Nkoba Eliezer Mabula kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii (anayeshughulikia Utalii) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni, 23 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MSamia Suluhu Hassan akimuapisha Selestine Gervas Kakele kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni, 23 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Dk. Habib Gallus Kambanga kuwa Balozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni, 23 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here