Home KITAIFA MAJALIWA:KUZINDUA MIFUMO YA KIDIGITALI YA UWAJIBIKAJI NA USIMAMIZI

MAJALIWA:KUZINDUA MIFUMO YA KIDIGITALI YA UWAJIBIKAJI NA USIMAMIZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 23, 2024 atazindua Mifumo ya Kidijitali ya Uwajibikaji na Usimamizi wa Utendaji Kazi katika Utumishi wa Umma iliyosanifiwa na Kujengwa na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umm.

Waziri Mkuu anamwakilisha Rais Dk. Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo inayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here