Home KIMATAIFA DK.NCHIMIBI AFANYA MAZUNGUMZO NA KOMREDI TANG DENGJIE

DK.NCHIMIBI AFANYA MAZUNGUMZO NA KOMREDI TANG DENGJIE

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), yaliyofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita. Komredi Dengjie na ujumbe wake, amefanya ziara ya kikazi ya siku 3 nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here