Home KITAIFA RAIS DK.MWINYI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

RAIS DK.MWINYI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam kuhudhuria dhifa ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa heshima ya mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo itakayofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni 22 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here