Home KITAIFA MAJALIWA KUZINDUA RIPOTI YA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII, KIUCHUMI NA MAZINGIRA

MAJALIWA KUZINDUA RIPOTI YA KIDEMOGRAFIA, KIJAMII, KIUCHUMI NA MAZINGIRA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 22, 2024 atazindua ripoti ya Kidemografia, Kijamii, Kiuchumi na Mazingira zinazotokana na Sensa ya Watu na Makazi na Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022.

Katika uzinduzi huo, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi Hemed Seleman Abdulah pia atashiriki.

Uzinduzi huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here