Home KITAIFA RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA KUSINI

RAIS DK.SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS WA AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa Juni,19 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ahudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa katika Viwanja vya Jengo la Umoja, Pretoria nchini humo leo Juni 19 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here